Sun Oct 30 2022 18:20:41 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-30 18:20:42 +03:00
parent e2daf0ca3f
commit 8a22b78a00
5 changed files with 18 additions and 4 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 Mimi mfalme Artashasta, natoa amri kwa wotunza hazina wote mjini ngambo ya mto, chochote Ezra atakachoomba kwenu anapaswa kupewa chote, \v 22 hata zaidi ya talanta mia moja za fedha, vipimo mia vya ngano, bathi mia za divai na bathi mia za mafuta, pia na chumvi isiyo na kikomo. \v 23 Chochote ambacho kimeamriwa kutoka kwa Mungu wa mbinguni, kifanye hicho kwa utukufu wa nyumba yake. Kwa nini hasira yake ije kwenye ufalme wangu na watoto wangu?
\v 21 Mimi mfalme Artashasta, natoa amri kwa watunza hazina wote mjini ng'ambo ya mto, chochote Ezra atakachoomba kwenu anapaswa kupewa chote, \v 22 hata zaidi ya talanta mia moja za fedha, vipimo mia vya ngano, bathi mia za divai na bathi mia za mafuta, pia na chumvi isiyo na kikomo. \v 23 Chochote ambacho kimeamriwa kutoka kwa Mungu wa mbinguni, kifanye hicho kwa utukufu wa nyumba yake. Kwa nini hasira yake ije kwenye ufalme wangu na watoto wangu?

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 Ezra, kwa hekima aliyokupa Mungu, inakulazimu kuteua waamuzi na mtu muelewa kuwahudumia watu katika mji ngambo ya mto na kusaidia yeyote anayejua sheria za Mungu wako. Pia inakubidi ufundishe wale ambao hawajui sheria. \v 26 Toa adhabu kwa yeyote asiyetii sheria ya Mungu au sheria ya mfalme, ikiwezekana kwa kifo, kuhamishwa, kuchukuliwa mali zake au kufungwa.
\v 25 Ezra, kwa hekima aliyokupa Mungu, inakulazimu kuteua waamuzi na mtu muelewa kuwahudumia watu katika mji ng'ambo ya mto na kusaidia yeyote anayejua sheria za Mungu wako. Pia inakubidi ufundishe wale ambao hawajui sheria. \v 26 Toa adhabu kwa yeyote asiyetii sheria ya Mungu au sheria ya mfalme, ikiwezekana kwa kifo, kuhamishwa, kuchukuliwa mali zake au kufungwa.

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Tena nikawatuma kwa Ido, kiongozi wa Kasifia. Nikawaaambia kile watachomweleza Ido. na jamaa zake, watumishi wa Hekalu waliishi Kasifia, kwa hiyo, kutuma kwetu watumishi kwa ajili ya nyumba ya Mungu.
\v 17 Tena nikawatuma kwa Ido, kiongozi wa Kasifia. Nikawaambia kile watachomweleza Ido. na jamaa zake, watumishi wa Hekalu waliishi Kasifia, kwa hiyo, kutuma kwetu watumishi kwa ajili ya nyumba ya Mungu.

1
08/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 8

View File

@ -117,6 +117,19 @@
"07-08",
"07-11",
"07-14",
"07-17"
"07-17",
"07-19",
"07-21",
"07-24",
"07-25",
"07-27",
"08-title",
"08-01",
"08-04",
"08-08",
"08-12",
"08-15",
"08-17",
"08-18"
]
}