Sun Oct 30 2022 17:44:25 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
7538c24fb0
commit
5a189337b5
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 11 Hii ni nakala waliotuma kwa Artashasta: "Watumishi wako, watu wa mji ngambo ya mto, waandika hivi: \v 12 Mfalme atambue kwamba Wayahudi waliotoka kwako wamefanya kinyume chetu hapa Yerusalem wamejenga mji wa uasi. Wamekamilisha ukuta na marekebisho ya misingi.
|
||||
\v 11 Hii ni nakala waliotuma kwa Artashasta: "Watumishi wako, watu wa mji ng'ambo ya mto, waandika hivi: \v 12 Mfalme atambue kwamba Wayahudi waliotoka kwako wamefanya kinyume chetu hapa Yerusalem wamejenga mji wa uasi. Wamekamilisha ukuta na marekebisho ya misingi.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 14 Hakika kwa kuwa tumekula chumvi ya Ikulu, haitopendeza sisi kuona heshima ya mfalme inavunjwa, kwa sababu hiyo tunamtaarifu mfalme \v 15 kufanya uchunguzi wa kumbukumbu ya baba yake, na kujiridhisha kuwa mji huu ulikuwa wa uharibifu ambao utawadhuru wafalme na miji. Ulisababisha matatizo mengi kwa wafalme na miji. Ilikuwa ni kitovu cha uhalibifu tokea siku nyingi. Ni kwa sababu hiyo mji uliteketezwa. \v 16 Tunamtaarifu mfalme kuwa endapo mji na ukuta ukijengwa, Hakuna kitakachobakia kwa ajili yako katika mji ngambo ya mto."
|
||||
\v 14 Hakika kwa kuwa tumekula chumvi ya Ikulu, haitopendeza sisi kuona heshima ya mfalme inavunjwa, kwa sababu hiyo tunamtaarifu mfalme \v 15 kufanya uchunguzi wa kumbukumbu ya baba yake, na kujiridhisha kuwa mji huu ulikuwa wa uharibifu ambao utawadhuru wafalme na miji. Ulisababisha matatizo mengi kwa wafalme na miji. Ilikuwa ni kitovu cha uhalibifu tokea siku nyingi. Ni kwa sababu hiyo mji uliteketezwa. \v 16 Tunamtaarifu mfalme kuwa endapo mji na ukuta ukijengwa, Hakuna kitakachobakia kwa ajili yako katika mji ng'ambo ya mto."
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 17 Ndipo mfalme akarudisha majibu kwa Rehumu na Shimshai na wenzao katika Samalia na waliobaki katika mji ngambo ya mto. "Amani iwe pamoja nanyi. \v 18 Barua mliyonitumia imetafsiliwa na kusomwa kwangu. \v 19 Hivyo niliagiza uchunguzi ufanywe na ikabainika kwamba zamani uliasi na kuwafitinisha wafalme.
|
||||
\v 17 Ndipo mfalme akarudisha majibu kwa Rehumu na Shimshai na wenzao katika Samalia na waliobaki katika mji ng'ambo ya mto. "Amani iwe pamoja nanyi. \v 18 Barua mliyonitumia imetafsiliwa na kusomwa kwangu. \v 19 Hivyo niliagiza uchunguzi ufanywe na ikabainika kwamba zamani uliasi na kuwafitinisha wafalme.
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 20 Wafalme wakuu walitawala Yerusalem yote na kuongoza kila sehemu ya mji ngambo ya mto. Ada na kodi walilipwa. \v 21 Sasa, wekeni agizo kwa watu hawa wasiendelee na kujenga mji mpaka nitakapotoa amri. \v 22 Muwe waangalifu msipuuze hili. Kwa nini kuruhusu tishio hili kuongezeka na kusababisha hasara kwa matakwa ya ufalme?
|
||||
\v 20 Wafalme wakuu walitawala Yerusalem yote na kuongoza kila sehemu ya mji ng'ambo ya mto. Ada na kodi walilipwa. \v 21 Sasa, wekeni agizo kwa watu hawa wasiendelee na kujenga mji mpaka nitakapotoa amri. \v 22 Muwe waangalifu msipuuze hili. Kwa nini kuruhusu tishio hili kuongezeka na kusababisha hasara kwa matakwa ya ufalme?
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
Sura 5
|
|
@ -83,6 +83,12 @@
|
|||
"04-03",
|
||||
"04-04",
|
||||
"04-07",
|
||||
"04-09"
|
||||
"04-09",
|
||||
"04-11",
|
||||
"04-13",
|
||||
"04-14",
|
||||
"04-17",
|
||||
"04-20",
|
||||
"04-23"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue