sw_ezr_text_reg/07/19.txt

1 line
240 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 19 Viweke vitu vilivyotolewa kwa hiari mbele yako kwa ajili ya huduma ya nyumba ya Mungu Yerusalem. \v 20 Kitu chochote kingine ambacho kinahitajika kwenye nyumba ya Mungu wako ambacho unahitaji, Gharama yake itatoka kwenye hazina yangu.