sw_exo_text_reg/17/08.txt

1 line
354 B
Plaintext

\v 8 Kisha jeshi la watu wa Ameleki wakaja na kushambulia Israeli huko Refidimu. \v 9 Hivyo Musa akamwambia Yoshua, "Chagau wanaume kadha na uende nje. Pigana na Ameleki. Kesho nitasimama juu ya kilima na gongo la Mungu mkononi mwangu." \v 10 Hivyo Yoshua akapigana na Ameleki kama Musa alivyo elekeza, wakati Musa, Aruni, na Huri walienda juu ya kilima.