sw_exo_text_reg/18/15.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 15 Musa akamwambia baba mkwe wake, "Watu wanakuja kuniuliza muongozo wa Mungu. \v 16 Wanapo kuwa na malumbano, wanakuja kwangu. Ninaamua kati ya mtu mmoja na mwingine, na nina wafundisha maagizo na sheria."