sw_exo_text_reg/08/18.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 18 Wachawi walijaribu kufanya chawa kwa uganga wao lakini hawakuweza. Palikuwa na chawa kwa watu na kwa wanyama. \v 19 Kisha wachawi wakamwambia Farao, "Hiki ni kidole cha Mungu." Lakini moyo wa Farao ulikuwa Mgumu, hivyo akakataa kuwasikiliza. Ilikuwa kama Yahweh alivyo sema Farao atafanya.