1 line
472 B
Plaintext
1 line
472 B
Plaintext
\v 11 Wakati Musa alipokuwa ameshikilia mikono yake juu, Israeli ilikuwa yashinda; alipoacha mikono yake ipumzike, Ameleki alianza kushinda. \v 12 Mikono ya Musa alipokuwa mizito, Aruni na Huri walichukua jiwe na kuweka chini yake alikalie. Muda huo huo, Aruni na Huri walinyanyua mikono yake juu, mtu mmoja upande mmoja, na mtu mmoja upande mwingine. Hivyo mikono ya Musa ilishikiliwa tuli mpaka jua lilipo zama. \v 13 Hivyo Yoshua akawashinda watu wa Ameleki kwa upanga. |