sw_exo_text_reg/40/21.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 21 Aliichukuwa sanduku na kuweka ndani ya hema la kukutania. Aliandaa pazia ili lizibe sanduku la ushuhuda, kama Yahweh alivyo muamuru. \v 22 Alieka meza kwenye hema la kukutania, kwa upande wa kaskazini mwa hema la kukutania, nje ya pazia. \v 23 Alieka mkate kwa mpangilio katika meza ya Yahweh, kama Yahweh alivyo amuru.