sw_exo_text_reg/37/27.txt

1 line
361 B
Plaintext

\v 27 Naye akaifanyia pete mbili za dhahabu chini ya ukingo wake kwenye pande zake mbili, kwenye pande zake mbili zinazoelekeana, za kutegemeza ile miti ya kuibeba. \v 28 Kisha akafanya ile miti ya mshita na kuifunika kwa dhahabu. \v 29 Tena akafanya yale mafuta yanayotumiwa kutia mafuta na ule uvumba safi uliotiwa manukato, + kazi ya mtengenezaji wa marhamu.