sw_exo_text_reg/37/23.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 23 Kisha akafanya taa zake saba na mikasi ya tambi zake na vyetezo vyake kutokana na dhahabu safi. \v 24 Alikifanya kwa talanta ya dhahabu safi, hicho pamoja na vyombo vyake vyote.