sw_exo_text_reg/30/26.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 26 Nawe utaipaka hema ya kukutania kwa mafuta hayo, na hilo sanduku la ushuhuda, \v 27 na hiyo meza, na vyombo vyake vyote, na kinara cha taa, na vyombo vyake, \v 28 na madhabahu ya kufukizia uvumba, na madhabahu ya kuteketezea sadaka, pamoja na vyombo vyake vyote, na birika, na tako lake.