sw_exo_text_reg/23/14.txt

1 line
355 B
Plaintext

\v 14 Lazima usafiri kusherehekea mara tatu kwa ajili yangu kila mwaka. \v 15 Lazima uadhimishe sherehe ya Mkate usiotiwa Chachu. Kama nilivyo kuamuru, utakula mkate usiotiwa chachu kwa siku saba. Wakati huo, utajitokeza kwangu mwezi wa Abibu, uliowekwa kwa ajili ya kusudi hili. Ni kwa mwezi huu uliyo toka Misri. Lakini usijitokeze kwangu mikono mitupu.