\v 4 Ukikutana na ng'ombe wa adui wako au punda wake amepotea, lazima umrudishie. \v 5 Ukiona punda wa yule anaye kuchukia ameanguka chini na mzigo wake, hauta muacha huyo mtu. Lazima umsaidie na punda wake