\v 22 Yahweh alimwambia Musa, "Ni lazima uwaambie hili Waisraeli: 'Wewe mwenyewe umeona niliongea na wewe kutoka mbinguni. \v 23 Misjitengenezee miungu mingine pamoja nami, miungu ya fedha au miungu ya dhahabu.