sw_exo_text_reg/14/23.txt

1 line
468 B
Plaintext

\v 23 Wamisri wakawafukuzia. Waliwafuata hadi katikati ya bahari - farasi wote wa Farao, magari ya farasi, na wapanda farasi. \v 24 Lakini masaa ya mapema ya asubui, Yahweh alitazama chini jeshi la Wamisri kupitia nguzo ya moto na wingu. Alisababisha hofu miongoni mwa Wamisri. \v 25 Magari yao ya farasi yalikuwa yana kwama matairi, na wapanda farasi waliendesha kwa ugumu. Hivyo Wamisri walisema, "Acha tuwakimbie Waisraeli, kwa kuwa Yahweh anawapigania dhidi yetu."