sw_exo_text_reg/14/01.txt

1 line
304 B
Plaintext

\c 14 \v 1 Yahweh akasema na Musa na kumwambia, \v 2 "Waambie Waisraeli wageuke na kuweka kambi mbele ya Pi Hahirothi, katikati ya Migdoli na bahari, mbele ya Baali Zefoni. Wapaswa kuweka kambi pembenni ya Pi Hahirothi. \v 3 Farao atasema kuhusu Waisraeli, 'Wanaangaika kwenye nchi. Nyikani imewafunika.'