sw_exo_text_reg/06/10.txt

1 line
423 B
Plaintext

\v 10 Hivyo Yahweh akazungumza na Musa na kumwambia, \v 11 "Nenda umwambie Farao, mfalme wa Misri, awaache watu wa Israeli waondoke kwenye nchi yake." \v 12 Musa akamwambia Yahweh, "Kama Waisraeli hawajanisikiliza mimi, kwa nini Farao anisikillize mimi, ili hali mimi sio mzuri wakuzungumza?" \v 13 Yahweh akasema na Musa na Aruni. Akawapa amri ya Waisraeli na Farao, mfalme wa Misri, awatoe Waisraeli kutoka nchi ya Misri.