sw_exo_text_reg/35/13.txt

1 line
390 B
Plaintext

\v 13 Walileta meza na miguu yake, vyombo vyake vyote, na mkate wa wonyesho; \v 14 kinara cha taa, vyombo vyake, taa, na mafuta ya zile taa; \v 15 ile madhabahu ya uvumba na nguzo zake, mafuta ya upako na uvumba ulitiwa maukato; kishikizo cha mwingilio wa hema ya kuabudia; \v 16 madhabahu ya sadaka ya kuteketeza na kitunzi cha shaba na nguzo na vyombo; na ile beseni kubwa na sakafu yake.