sw_exo_text_reg/35/10.txt

1 line
261 B
Plaintext

\v 10 Kila mwanaume mwenye ustadi kati yenu aje na afanye kila kitu ambacho Yahweh aliyaamuru -- \v 11 hema la kuabudia, na kifuniko chake, na vifungo vyake, na mbao zake, nguzo, na sakafu; \v 12 pia sanduku na nguzo zake, kiti cha rehema, na pazia la kusitiri.