1 line
572 B
Plaintext
1 line
572 B
Plaintext
\v 4 Musa akasema na jamii yote ya Waisraeli, kwa kusema, "Hichi ndicho kitu Yahweh alicho amuru. \v 5 Chukuwa sadaka kwa ajili ya Yahweh, wote wenye moyo mkunjufu. Leta sadaka kwa Yahweh - dhahabu, fedha, shaba, \v 6 buluu, zambarau, sufu nyekundu na kitambaa kizuri; nywele za mbuzi; \v 7 ngozi za kondoo zilizotiwa rangi nyekundu na ngozi za pomboo; na mbao za mshita; \v 8 mafuta ya taa kwa pahali patakatifu, viungo vya manukato kwa hayo mafuta ya kutiwa, \v 9 kwa uvumba mzuri na vito vya shohamu na vito vya kutiwa kwa hiyo naivera, na kwa hicho kifuko cha kifuani. |