sw_exo_text_reg/34/27.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 27 Yahweh akamwabia Musa, "Andika chini haya maneno, kwa kuwa nimejiahidi haya maneno niliyo yasema, na nimefanya agano kwako na Israeli." \v 28 Musa alikuwa huko na Yahweh kwa siku arobaini na usiku; hakula chakula chochote wala kunywa maji yeyote. Aliandika katika mbao maneno ya agano, Amri kumi.