sw_exo_text_reg/34/01.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 1 Yahweh akamwabia Musa, "Kata mbao mbili za mawe kama zile za awali. Nitaandika kwenye hizi mbao za mawe maneno yaliyo kuwa kwenye mbao za mawe za mwanzo, mbao za mawe ulizo zivunja. \v 2 Kuwa tayari asubui na uje Mlima Sinai, na uje mbele zangu juu ya mlima.