sw_exo_text_reg/29/43.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 43 Nami nitakutana na wana wa Israeli hapo; na hiyo hema itafanywa takatifu na utukufu wangu. Nami nitaitakasa hiyo hema ya kukutania, na hiyo madhabahu. \v 44 Pia Aruni na wanawe nitawatakasa, ili wanitumikie katika kazi ya ukuhani.