sw_exo_text_reg/16/31.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 31 Watu wa Israeli walikiita chakula kile "manna." Ilikuwa ni nyeupe kama mbegu ya mgiligani, na ladha yake kama maandazi yaliyo pikwa na asali. \v 32 Musa akasema, "Hili ndilo Yahweh alilo amuru: 'Acha lita mbili ya manna ihifadhiwe kwa ajili ya vizazi vya watu wako ili kwamba uzao wako uone mkate niliyokulisha nyikani, baada ya kukutoa kutoka nchi ya Misri.