sw_exo_text_reg/16/24.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 24 Hivyo wakaweka pembeni hadi asubui, kama Musa alivyo waelekeza. Haikuharibika, wala haikuwa na mdudu yeyote. \v 25 Musa alisema, "Kula hicho chakula leo, kwa kuwa leo ni siku iliyotengwa ya kumtukuza Yahweh. Leo hamtaikuta mashambani.