sw_exo_text_reg/16/09.txt

1 line
484 B
Plaintext

\v 9 Musa akamwambia Aruni, "Sema kwa jamii yote ya watu wa Israeli, 'Njoo karibu na Yahweh, kwa kuwa amesikia malalamishi yenu.'" \v 10 Ikawa, Aruni alipo sema na jamii yote ya watu wa Israeli, wakaangalia kuelekea nyikani, na, tazama, utukufu wa Yahweh ukatokea kwenye wingu. \v 11 Kisha Yahweh akasema na Musa na kumwambia, \v 12 "Nimesikia malalamishi ya watu wa Israeli. Sema nao na useme, 'Jioni utakula nyama, na asubui utashiba mkate. Kisha utajua mimi ni Yahweh Mungu wako.'"