sw_exo_text_reg/16/06.txt

1 line
460 B
Plaintext

\v 6 Kisha Musa na Aruni wakawaambia watu wote wa Israeli, "Jioni mtajua kuwa ni Yahweh aliye waleta kutoka nchi ya Misri. \v 7 Asubui utaona utukufu wa Yahweh, kwa maana anasikia mna mlalamikia. Sisi ni nani hadi mtulalamikie?" \v 8 Musa pia akasema, "Utajua hili pale Yahweh atakapo kupa nyama jioni na mkate asubui kwa utele - kwa kuwa amesikia malalamishi mnayo tamka dhidi yake. Nani ni Aruni na mimi? Malalamishi yenu sio dhidi yetu; ni dhidi ya Yahweh."