sw_exo_text_reg/16/04.txt

1 line
295 B
Plaintext

\v 4 Kisha Yahweh akamwambia Musa, "Nitakunyeshea mvua ya mikate. Watu wataenda na kukusanya kiasi cha siku kila siku ili niwajaribu kama wataendelea kushika sheria yangu au hapana. \v 5 Itakuja kuwa siku ya sita, kwamba watakusanya mara mbili zaidi ya wanavyo kusanya, na watapika wanacholeta."