sw_exo_text_reg/10/27.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 27 Lakini Yahweh aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, na hakuwaacha waende. \v 28 Farao alimwambia Musa, "Toka kwangu! Kuwa muangalifu na jambo moja, kwamba usinione tena, kwa kuwa siku utakapo uona uso wangu, utakufa." \v 29 Musa akasema, "Wewe mwenyewe umesema. Sitauona uso wako tena."