sw_exo_text_reg/10/24.txt

1 line
465 B
Plaintext

\v 24 Farao alimuita Musa na kusema, "Nenda umuabudu Yahweh. Hata familia zenu za weza kwenda nanyi, lakini ng'ombe zenu na kondoo zenu zitabaki." \v 25 Lakini Musa akasema, "Lazima utupe wanyama kwa ajili ya dhabihu na sadaka za kuteketeza ili tuwatoe dhabihu kwa Yahweh Mungu wetu. \v 26 Mifugo yetu lazima iende na sisi; hata mmoja hawezi kubaki, lazima tuwapeleke wakamuabudu Yahweh Mungu wetu. Kwa kuwa hatujui tutakacho muabudu nacho Yahweh mpaka tufike pale.