sw_exo_text_reg/10/19.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 19 Yahweh akaleta upepo mkali wa magharibi ulio wachukuwa wale nzige na kuwapeleka Bahari ya Shamu; hakuna nzige ata mmoja aliye baki eneo la Misri. \v 20 Lakini Yahweh aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, na Farao hakuacha Waisraeli waende.