sw_exo_text_reg/10/16.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 16 Kisha Farao akawaita Musa na Aruni na kuwaambia, "Nimefanya dhambi dhidi ya Yahweh na dhidi yako. \v 17 Kisha sasa, nisamehe dhambi yangu wakati huu, na uombe kwa Yahweh Mungu wako aondoe hiki kifo kwangu." \v 18 Musa akaondoka kwa Farao na kumuomba Yahweh.