sw_exo_text_reg/10/09.txt

1 line
463 B
Plaintext

\v 9 Musa akasema, "Tutaondoka na wadogo wetu na wakubwa wetu, pamoja na wana wetu na mabinti zetu. Tutaondoka na ng'ombe na kondoo zetu, maana lazima tufanye siku kuu ya Yahweh." \v 10 Farao akawaambia, "Yahweh kwa kweli awe nanyi, kama nitawaacha muende na wadogo zenu waende. Angalia, una uovu kwenye nia. \v 11 Hapana! Nenda, wanaume tu miongoni mwenu, na mmuabudu Yahweh, kwa kuwa hilo ndilo mnalo litaka." Kisha Musa na Aruni wakaondolewa uweponi mwa Farao.