sw_exo_text_reg/10/07.txt

1 line
313 B
Plaintext

\v 7 Watumishi wa Farao wakamwambia, "Mpaka lini huyu mwanaume ata kuwa msumbufu kwetu? Acha Waisraeli waende wakamuabudu Yahweh Mungu wao. Bado haujatambua kuwa Misri imeharibiwa?" \v 8 Musa na Aruni wakaletwa tena kwa Farao, ambaye aliwaambia, "Nendeni amkamuabudu Yahweh Mungu wenu. Lakini watu gani wataenda?"