Sun Jun 26 2022 22:12:58 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-06-26 22:13:25 +03:00
commit f20686c6b7
473 changed files with 539 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli waliokuja Misri pamoja na Yakobo kila moja na familia yake: \v 2 Rubeni, Simioni, Lawi, na Yuda, \v 3 Isakari, Zebuluni, na Benjamini, \v 4 Dani, Naftali, Gadi, na Asheri. \v 5 Jumla ya watu wa ukoo wa Yakobo walikuwa sabini. Yusufu alikuwa Misri tayari.

1
01/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Ndipo Yusufu, pamoja na kaka zake wote, na kizazi chote wakafa. \v 7 Waisraeli walifanikiwa sana, wakaongezeka sana idadi yao, na wakawa na nguvu maana nchi ilijazwa na wao.

1
01/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Wakati huu sasa mfalme mpya asiyemjua Yusufu aliinuka katika Misri. \v 9 Akawaambia watu wake, "Tazama, hawa Waisraeli ni wengi na wenye nguvu kuliko sisi. \v 10 Njooni na tukae nao kwa akili, ama sivyo wataendelea kuongezeka na kama vita ikiibuka, wataungana na adui zetu, watapigana nasi, na kisha wataondoka."

1
01/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Hivyo wakawekea walinzi ambao waliwatesa kwa kuwatumikisha kazi ngumu. Waisraeli walijenga maghala ya miji kwa ajili ya Farao: Pishoni na Ramsei. \v 12 Lakini kadiri Wamisri walivyowatesa, ndivyo Waisraeli waliendelea kuongezeka na kusambaa. Hivyo Wamisri wakaanza kuwaogopa Waisraeli.

1
01/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Wamisri waliwafanya Waisraeli wafanye kazi kwa nguvu nyingi. \v 14 Waliyafanya maisha yao kuwa machungu kwa kuwafanyisha kazi ngumu kwa vinu na matofali na kwa kila aina ya kazi za shambani. Kazi zao zote zilikuwa ngumu.

1
01/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Kisha mfalme wa Misri akawaambia wakunga wa Kiebrania; mmoja wao aliitwa jina lake Shifra, na mwingine aliitwa Puha. \v 16 Akasema, "Wakati mnapowasaidia wanawake wa Kiebrania wanapojifungua, chunguzeni wanapozaa. Ikiwa ni mtoto wa kiume, basi muueni; bali ikiwa ni mtoto wa kike, basi mwacheni aishi." \v 17 Lakini wale Wakunga walimwogopa Mungu na hawakufanya kama mfalme wa Misri alivyowaagiza; badala yake waliwaacha watoto wa kiume waishi.

1
01/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Mfalme wa Misri akawaita Wakunga na kuwaambia, "Kwanini mmefanya haya, na kuwaacha watoto wa kiume wakaishi?" \v 19 Wale Wakunga wakamjibu Farao, "Hawa wanawake wa Kiebrania siyo kama wanawake wa Kimisri. Hawa wana nguvu na jasiri sana maana wao humaliza kuzaa kabla hata mkunga hajafika."

1
01/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Mungu aliwalinda hawa Wakunga. Watu waliongezeka kwa idadi na kuwa na nguvu sana. \v 21 Kwa sababu wale Wakunga walimwogopa Mungu, aliwapa familia. \v 22 Farao akawaagiza watu wote, "Lazima mmutupe kila mtoto wa kiume anayezaliwa katika mto, lakini kila mtoto wa kike wamwache aishi."

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Sasa mwanamme wa kabila la Lawi alimuoa mwanamke Mlawi. \v 2 Yule mwanamke akapata mimba na kuzaa mtoto wa kiume. Alipoona ya kuwa alikuwa mtoto mwenye afaya, alimficha kwa miezi mitatu.

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Lakini alipokuwa hawezi kuendelea kumficha tena, alichukua kikapu cha manyasi akakipaka sifa na lami. Akamtia mtoto ndani yake na kukiweka juu ya maji katika majani kando ya mto. \v 4 Dada yake akasimama kwa mbali ili ajue yatakayompata.

1
02/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Binti Farao akashuka kuoga mtoni wakati vijakazi wake wakitembea kando ya mto. Naye akaona kile kikapu katika majani na akamtuma kijakazi wake kwenda kukileta. \v 6 Alipokifungua, aliomwona mtoto. Tazama, mtoto alikuwa analia. Alimhurumia na kusema, "Bila shaka huyu ni mmoja wapo wa watoto wa Waebrania."

1
02/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Basi dada wa yule mtoto akamwambia binti Farao, "Je naweza kwenda kukutafutia mwanamke wa Kiebrania aje akulele mtoto kwa ajili yako?" \v 8 Binti Farao akamwambia, "Nenda." Hivyo yule binti akaenda na kumwita mama yake yule mtoto.

1
02/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Binti Farao akamwambia mama yake yule mtoto, "Mchukue mtoto huyu ukaninyonyeshee, nami nitakupa posho." Hivyo yule mwanamke akamchukua mtoto na kumnyonyesha. \v 10 Mtoto alipokuwa mkubwa, akamleta kwa binti Farao, na akawa mtoto wake. Akamwita jina lake Musa akisema, "Kwa sababu nilimtoa katika maji."

1
02/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Musa alipokuwa mtu mzima, alienda kwa watu wake na kuona kazi ngumu walizokuwa wanafanya. Alimuona Mmisri akimpiga Mwebrania, mmoja wa watu wa jamii yake. \v 12 Aliangalia huku na kule, na alipoona ya kuwa hakuna mtu, alimuua yule mmisri na kuuficha mwili wake katika mchanga.

1
02/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Alienda tena siku iliyofuata, na tazama, Waebrania wawili walikuwa wanapigana. Alimwambia yule aliyekuwa na makosa, "Kwa nini unampigia mwenzako?" \v 14 Lakini yule mtu alisema, "Ni nani aliyekuweka wewe kuwa kiongozi na mwamuzi juu yetu? Unataka kuniua na mimi kama ulivyomuua yule mmisri?" Ndipo Musa akaogopa na kusema, "Hakika niliyoyafanya yamejulikana."

1
02/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Farao aliposikia habari hizi, alijaribu kumuua Musa. Lakini Musa alikimbia na kwenda kuishi katika nchi ya Wamidiani. Kule alikaa chini kando ya mto. \v 16 Wakati huo kuhani wa Midiani alikuwa na mabinti saba. Walikuja mtoni kuchota maji na kujaza vyombo vyao ili wawanyweshe mifuko ya baba yao. \v 17 Wachungaji walikuja na kutaka kuwafukuza, lakini Musa alienda kuwasaidia. Kisha akawanywesha mifugo wao.

1
02/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Wale mabinti walipoenda kwa Reueli baba yao, aliwauliza, "Kwa nini mmerudi nyumbani mapema hivi leo?" \v 19 Wakamwambia, "Mmisri mmoja alituokoa dhidi ya wachungaji. Pia alichota maji na kuwanywesha mifugo wetu." \v 20 Kisha akawauliza binti zake, "Yu wapi sasa? Kwa nini mlimwacha? Mwiteni ili apate kula chakula pamoja nasi."

1
02/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Musa akakubali kukaa na yule mtu ambaye pia alimpa binti yake Zipora ili amuoe. \v 22 Alizaa mtoto wa kiume, na Musa akamwita jina lake Geshomu; akisema; "Nimekuwa mkazi katika nchi ya ugeni."

1
02/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Muda mrefu baadaye, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli walilalamika kwa sababu ya kazi za utumwa. Walilia kutafuta msaada, na maombi yao yakamfikia Mungu kwa sababu ya mateso yao. \v 24 Mungu aliposikia malalamiko yao, Mungu alikumbuka agano lake na Abrahamu, na Isaka, na Yakobo. \v 25 Mungu aliwaona Waisraeli na akaielewa hali yao.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Wakati huu Musa aliendelea kuchunga mifugo ya Yethro baba mkwe wake, kuhani wa Midiani. Musa aliliongoza kundi la mifugo kuelekea upande wa mbali wa jangwa mpaka kufika Horebu, mlima wa Mungu. \v 2 Akiwa pale malaika wa Yahwe akamtokea kama mwali wa moto katika kichaka. Musa aliangalia, na tazama, kichaka kiliwaka moto lakini hakikuteketea. \v 3 Musa akasema, "Nitageuka ili nione kitaku hiki cha ajabu, kwa nini kichaka hakiteketei."

1
03/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Yahwe alipoona ya kuwa amegeuka upande ili aone, Mungu alimwita kutoka katika kile kichaka na kusema, "Musa, Musa." Musa akasema, "Mimi hapa." \v 5 Mungu akasema, "Usinikaribie! Vua viatu katika miguu yako, kwa kuwa mahali uliposimama ni mahali palipowekwa wakfu kwa ajili yangu." \v 6 Aliongeza kusema, "Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo." Kisha Musa akaufunika uso wake, kwa kuwa aliogopa kumwangalia Mungu.

1
03/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Yahwe akasema, "Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri. Nimesikia kelele zao kwa sababu ya mabwana wao, kwa kuwa nayajua mateso yao. \v 8 Nimekuja chini kuwaokoa dhidi ya mamlaka ya Wamisri na kuwatoa katika nchi ile na kuwaleta katika nchi nzuri, pana, nchi ijaayo maziwa na asali; kwenye ukanda wa Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi.

1
03/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Sasa kilio cha watu wa Israeli kimenifikia mimi. Zaidi sana, Mimi nimeyaona mateso ambayo Wamisri wanawatesa. \v 10 Sasa basi, nitakutuma wewe kwa Farao ili upate kuwatoa watu wangu, wana wa Israeli, kutoka katika nchi ya Misri."

1
03/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Lakini Musa akamwambia Mungu, "Mimi ni nani hata niende kwa Farao na kuwatoa Waisraeli kutoka Misri?" \v 12 Mungu akamjibu, "Hakika nitakuwa pamoja nawe. Hii itakuwa ishara kwako ya kuwa nimekutuma. Utakapokuwa umewatoa watu kutoka Misri, mtaniabubu mimi katika mlima huu."

1
03/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Musa akamwambia Mungu, "Nikienda kwa Waisraeli na kuwaambia, 'Mungu wa baba zenu amenituma mimi kwenu,' na kisha wakiniambia, 'jina lake nani?' nitawaambia nini?" \v 14 Mungu akamwambia Musa, "MIMI NIPO AMBAYE NIPO." Mungu akasema, "Ni lazima uwaambie Waisraeli, "MIMI NIPO amenituma kwenu." \v 15 Pia Mungu akamwambia Musa, "Lazima uwaambie Waisraeli, 'Yahwe, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo amenituma mimi kwenu. Hili ndio jina langu milele, na hivi ndivyo nitakavyokumbukwa na vizazi vyote.'

1
03/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Nenda ukawakusanye wazee wa Israeli pamoja. Waambie, 'Yahwe, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, wa Isaka na Yakobo, amenitokea mimi na kusema, "Hakika nimewatazama na nimeona yale mliyotendewa huko Misri. \v 17 Nimeahidi kuwatoa ninyi katika mateso ya Misri na kuwaleta katika nchi ya Wakanaani, Wahiti, Wamwori, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi. Nchi ijaayo maziwa na asali." \v 18 Watakusikiliza. Wewe pamoja na wazee wa Israeeli itawapasa kwenda kwa mfalme wa Misri, na imewapasa kumwambia, 'Yahwe, Mungu wa Waebrania amekutana nasi. Hivyo tuache sisi twende safari ya siku tatu katika jangwa ili tupate kutoa sadaka kwa Yahwe Mungu wetu.'

1
03/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Lakini nafahamu ya kuwa mfalme wa Misri hatawaacha ninyi mwende, isipokuwa kwa kulazimishwa. \v 20 Nitainua mkono wangu na kuwapiga Wamisri kwa miujiza yote nitakayoifanya kati yao. Baada ya hayo, atawaacha mwende. \v 21 Nitawapa watu hawa kufadhiliwa kutoka kwa Wamisri ili muondokapo msiende mikono mitupu. \v 22 Kila mwanamke ataomba kwa jirani yake Mmisri na kwa kila mwanamke akaaye kwenye nyumba ya jirani yake, vyombo vya fedha na vya dhahabu na nguo. Nanyi mtawavika watoto wenu wa kiume na binti zenu. Kwa njia hii mtawateka nyara Wamisri."

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Musa akajibu, "Lakini itakuwaje wasiponiamini mimi au wasiponisikiliza na kusema, 'Yahwe hajakutokea wewe?" \v 2 Yahwe akamwambia, "Hicho ni nini mkononi mwako?" Musa aksema, "Ni fimbo." \v 3 Yahwe akasema, "Itupe chini." Musa akaitupa chini ile fimbo, nayo ikageuka na kuwa nyoka. Musa akarudi nyumba.

1
04/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Yahwe akamwambia Musa, "Mchukue kwa kumshikia mkia wake." Hivyo alimchukua yule nyoka. Mara ikaggeuka na kuwa fimbo mkononi mwake tena. \v 5 "Hii ni ili wapate kuamini ya kuwa Yahwe, Mungu wa baba zao, Mungu wa wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo amekutokea wewe."

1
04/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Yahwe pia alimwambia, "Sasaingiza mkono wako ndani ya vazi lako." Hivyo Musa akaingiza mkono wake ndani ya vazi lake. Na alipoutoa nje, tazama, mkono wake ulikuwa na ukoma, mweupe kama theluji. \v 7 Yahwe akasema, "Ingiza mkono wako ndani ya vazi lako tena." Hivyo akaingiza mkono wake ndani ya vazi lake, na alipoutoa nje aliona ukiwa mzima tena kama ulivyo mwili wake wote.

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Yahwe akasema, "Kama hawatakuamini wewe - kama hawatazingatia ishara yanggu ya kwanza ya nguvu zangu au kuziamini, basi wataamini ishara ya pili. \v 9 Na ikiwa hawataamini hata ishara hizi zote mbili za nguvu zangu, au wasipokusikiliza wewe, basi chota maji kutoka katika mto na uyamwage katika nchi kavu. Maji utakayoyamwaga yatakuwa damu katika nchi kavu."

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Ndipo Musa akamwambia Yahwe, "Bwana, mimi ni mzuri wa kuongea, si hapo kwanza au hata baada ya kuwa umeongea na mtumishi wako. Mimi ni mdhaifu wa kuongea na nina kigugumizi." \v 11 Yahwe akamwambia, "Ni nani anayeumba mdomo wa mwanadamu? Ni nani amfanyaye mwanadamu kuwa bubu au aone au kipofu? Je si mimi Yahwe? \v 12 Sasa nenda, nami nitauongoza mdomo wako na nitakufundisha cha kusema." \v 13 Lakini Musa akasema, "Bwana, tafadhali mtume mtu mwingine, yeyote unayependa kumtuma."

1
04/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kisha Yahwe akamkasirikia Musa. Akasema, "Vipi kuhusu Aroni kaka yako yule Mlawi? Najua ya kuwa anaweza kuongea vizuri. Hata hivyo, anakuja kukutana na wewe, na atakapokuona moyo wake utajawa na furaha. \v 15 Wewe utaongea naye na utaweka maneno ya kusema kinywani mwake. Nami nitakiongoza kinywa chako na kinywa chake pia, nami nitaonesha ninyi nyote yawapasayo kutenda. \v 16 Yeye ataongea na watu kwa niaba yako. Yeye atakuwa msemaji wako, na wewe utakuwa kama Mungu kwake. \v 17 Utachukua hii fimbo pamoja nawe mkononi mwako. Kwa fimbo hii utafanya ishara."

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Hivyo Musa alirudi kwa Yethro - baba mkwe wake na kumwambia, "Niruhusu nipate kurudi kwa ndugu zangu walioko Misri ili niweze kuona kama bado wako hai." Yethro akwambia Musa, "Nenda kwa amani." \v 19 Yahwe akamwambia Musa kule Midiani, "Nenda, rudi Misri, kwa kuwa watu wote waliotaka kukuua wameshakufa." \v 20 Musa akamchukua mke wake na watoto wake wa kiume na kuwapandisha kwenye punda. Akarudi mpaka nchi ya Misri, naye alichukua fimbo ya Mungu pamoja naye mkononi mwake.

1
04/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Yahwe akamwambia Musa, "Utakaporudi Misri, jitahidi kufanya ishara zote nilizokupa kufanya mbele ya Farao. Lakini nitaufanya moyo wake kuwa mgumu, naye hawatawaacha watu waende. \v 22 Lazima umwambie Farao, 'Hivi ndivyo asemavyo Yahwe: Israeli ni mtoto wangu, mzaliwa wa kwanza wangu, \v 23 nami nakuamuru, "Mwache mwanangu aende ili apate kuniabudu mimi." Lakini kwa kuwa umekataa kumwachia, hakika nitamuua mtoto wako wa kiume, mzaliwa wa kwanza wako."'

1
04/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Sasa wakiwa njiani, wakati wa usiku walipopumzika, Yahwe alikutana na Musa na kutaka kumuua. \v 25 Kisha Zipora akachukua kisu kikali na kukata govi la mtoto wake wa kiume na kuligusisha miguuni pake. Kisha akasema, "Hakika wewe ni bwana harusi wangu kwa njia ya damu." \v 26 Hivyo Yahwe akamwachia. Akasema, "Wewe ni bwana harusi wa damu" kwa sababu ya kutahiriwa.

1
04/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Yahwe akamwambia Aroni, "Nenda nyikani ukutane na Musa." Aroni akaenda na kukutana naye katika mlima wa Mungu, na kumbusu. \v 28 Musa akwambia Aroni maneno yote ya Yahwe ambayo alimtuma kusema na kwa habari za ishara zote za nguvu za Yahwe ambazo alimwagiza kutenda.

1
04/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Kisha Musa na Aroni wakaenda na kuwakusanya wazee wote wa Israeli. \v 30 Aroni akawaambia maneno yote ambayo Yahwe alimwambia Musa. Pia alionesha ishara na miujiza ya nguvu za Yahwe mbele ya watu. \v 31 Watu waliamini. Waliposikia ya kuwa Yahwe aliwaona Waisraeli na ya kwamba aliyaona mateso yao, waliinamisha vichwa vyao na kumwabudu.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Baada ya mambo haya kutokea, Musa na Aruni walienda kwa Farao na kumwambia, ""Hivi ndivyo Yahwe, Mungu wa Israeli anasema: 'Waache watu wangu waende, ili wapate kunifanyia karamu jangwani.'" \v 2 Farao akasema, "Yahwe ni nani? Kwa nini mimi nisikiliz sauti yake na kuwaacha Israeli waende? Mimi simjui Yahwe; na la zaidi, sitawaacha Israeli waende."

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wakasema, "Mungu wa Waebrania amekutana nasi. Tuache twende safari jangwani kwa siku tatu ili tutoe sadaka kwa Yahwe Mungu wetu ili asituadhibu kwa mapigo au kwa upanga." \v 4 Lakini mfalme wa Misri aliwaambia, "Musa na Aruni, kwa nini mnawatoa watu kazini mwao? Nendeni kazini kwenu." \v 5 Pia alisema, "Sasa kuna Waebrania wengi nchini mwetu, na ninyi mnawafanya waache kazi zao."

1
05/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Siku ile ile, Farao alitoa amri kwa wasimamizi na wanyapara wa wale watu. Akasema, \v 7 "Tofauti na ilivyokuwa mwanzo, "Tofauti ni ilivyokuwa awali, msiwapatie tena watu majani ya kutengenezea tofali. Waacheni wao waende kujitafutia majani wenyewe. \v 8 Ingawa wanapaswa kuleta hesabu sawa ya matofali watakayotengeneza kama ilivyokuwa awali. Msipokee pungufu, kwasababu wao ni wavivu. Ndiyo maana wanapiga kelele na kusema, 'turuhusu tuende tukamtolee sadaka Mungu wetu.' \v 9 Waongezeeni kazi wanaume ili wasipate tena muda wa kusikiliza maneno ya upotoshaji."

1
05/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Kwa hiyo viongozi wa watu na waangalizi wao waliwajulisha watu. Walisema, "Hivi ndivyo farao amesema: 'Sitawapeni tena malighafi. \v 11 Nyinyi wenyewe mtaenda kutafuta majani popote mtakapopata, lakini kazi zenu hazitapunguzwa.

1
05/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Basi watu hao wakatawanyika katika nchi yote ya Misri ili wapate kukusanya matakataka badala ya majani. \v 13 Wasimamizi wao wakawahimiza na kusema, "Malizeni kazi zenu, sawa na wakati ule majani yalipokuwapo." \v 14 Wanyapara wa Farao wakawapiga wasimamizi wa Waisraeli, watu walewale ambao waliwaweka kuwa wasimamizi wa watumishi. Wale Wanyapara wakakazana kuwauliza, "Kwanini hamjatimiza idadi ya matofali inayotakiwa kwenu, siku ya jana na hata leo kama ambavyo mlifanya siku za nyuma?"

1
05/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Basi Wanyapara wa wana wa Israeli wakamwendea Farao na kumlilia. Walisema, "Kwanini unawatendea watumishi wako hivi? \v 16 Sisi watumishi wako hatupewi majani tena, lakini bado wanatuambia sisi, "Tengenezeni tofali!' Sisi watumwa wako tunapigwa sasa, lakini kosa hilo ni la watu wako." \v 17 Lakini Farao akasema, "Ninyi ni wavivu! Wavivu ninyi! Ninyi mwasema, 'Turuhusu twende kumtolea Yahwe sadaka.' \v 18 Sasa rudini kazini. Hamtapewa majani tena, lakini mnapaswa kutengeneza idadi ile ile ya matofali."

1
05/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Wanyapara wa wana wa Israeli wakagundua ya kuwa walikuwa kwenye shida kubwa mara walipoambiwa, "Hamtapunguza kamwe idadi ya matofali mnayotengeneza kila siku." \v 20 Wakakutana na Musa na Haruni, waliokuwa wamesimama nje ya Ikulu wakati wanatoka kwa Farao. \v 21 Wakawaambia Musa na Haruni, "Yahwe awatazame ninyi na kuwaadhibu, kwa sababu mmetufanya sisi kuonekana wabaya mbele ya Farao na watumishi wake. Mmetia upanga mikononi mwao ili watuue."

1
05/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Musa akarudi kwa BWANA na kumwambia, "Bwana, kwanini umewatenda mabaya watu hawa? Kwanini kunituma mimi kwanza? \v 23 Tangu nilipokuja kwa Farao kusema naye kwa jina lako, amewatenda mabaya watu hawa, wala hujawaokoa watu wako hata kidogo."

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Yahweh akasema na Musa, "Sasa utaona nitakacho fanya kwa Farao. Utaona hili, kwa kuwa ata waacha waenda kwa mkono wangu hodari. Kwasababu ya mkono wangu hodari, ata waondoa nje ya nchi."

1
06/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Mungu akasema na Musa na kumwambia, "Mimi ni Yahweh. \v 3 Nilimtokea Ibrahimu, Isaka, na Yakobo kama Mungu mwenye nguvu; lakini kwa jina langu, Yahweh, sikujuliikana kwao. \v 4 Pia niliimarisha agano langu na wao, ilikuwapatia nchi ya Kanani, nchi walioishi kama sio raia, nchi walio tanga tanga. \v 5 Zaidi ya yote, nimesikia kilio cha Waisraeli ambao wa Misri wame wa chukua watumwa, na nimekumbuka agano langu.

1
06/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Kisha basi, sema kwa Waisraeli, 'Mimi ni Yahweh. Nitawatoa kwenye utumwa chini ya wa Misri, na kuwaweka huru na nguvu zao. Nitawaokoa kwa kudhihirisha nguvu zangu, na kwa matendo ya ajabu ya hukumu. \v 7 Nitawaleta kwangu kama watu wangu, na nitakuwa Mungu wenu. Mtajua kuwa mimi ndiye Yahweh Mungu wenu, aliye watoa kwenye utumwa chini ya wa Misri.

1
06/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Nitawaleta kwenye nchi niliyo muahidi kumpa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo. Nitawapa kama mali yenu. Mimi ni Yahweh."' \v 9 Musa alipo waambia haya Waisraeli, hawakumsiliza kwasababu ya mateso magumu ya utumwa wao.

1
06/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Hivyo Yahweh akazungumza na Musa na kumwambia, \v 11 "Nenda umwambie Farao, mfalme wa Misri, awaache watu wa Israeli waondoke kwenye nchi yake." \v 12 Musa akamwambia Yahweh, "Kama Waisraeli hawajanisikiliza mimi, kwa nini Farao anisikillize mimi, tangu mimi sio mzuri wakuzungumza?" \v 13 Yahweh akasema na Musa na Aruni. Akawapa amri ya Waisraeli na Farao, mfalme wa Misri, awatoe Waisraeli kutoka nchi ya Misri.

1
06/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Hawa walikuwa vichwa wa nyumba za baba yao: wana wa Rubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli, walikuwa Hanoki, Palu, Hezroni, na Karmi. Hawa walikuwa mababu wa ukoo wa Rubeni. \v 15 Wana wa Simeoni walikuwa Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Zohari, na Shauli - mwana wa mwanamke wa Kanani. Hawa walikuwa mababu wa ukoo wa Simeoni.

1
06/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Hapa yameorodheshwa majina ya wana wa Lawi, pamoja na uzo wao. Walikuwa ni Gerishoni, Kohathi, na Merari. Lawi aliishi mpaka alipo kuwa na miaka 137. \v 17 Wana wa Gerishoni walikuwa Libni na Shimei. \v 18 Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Izhari, Hebroni, na uzieli. Kohathi aliishi hadi miaka 133. \v 19 Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi. Hawa walikuja kuwa mababu wa ukoo wa Walawi, pamoja na uzao wao.

1
06/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Amramu alimuoa Yokebedi, dada yake baba yake. Alimzalia Aruni na Musa. Amramu aliishi miaka 137 na akafa. \v 21 Wana wa Izhari walikuwa Kora, Nefegi, na Zikri. \v 22 Wana wa Uzieli walikuwa Mishaeli, Elizafani na Sithri.

1
06/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Aruni alimuoa Elisheba, binti wa Aminadabu, dada wa Nashoni. Alimzaa Nadabu na Abihu, Eleazari na Ithamari. \v 24 Wana wa Kora walikuwa Asiri, Elikana na Abiasa. Hawa walikuwa mababu wa ukoo wa Wakora. \v 25 Eleazari, mwana wa Aruni, alimuoa mmoja wa mabinti Wa Putieli. Alimzalia Fineazi. Hawa walikuwa vichwa wa nyumba za baba yao miongoni mwa Walawi, pamoja na uzao wao.

1
06/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Hawa wanaume wawili walikuwa Musa na Aruni ambao Yahweh alisema, "Waleteni Waisraeli kutoka nchi ya Misri, kwa makundi ya wanaume wapiganaji." \v 27 Aruni na Musa wakazungumza na Farao, mfalme wa Misri, awaruhusu Waisraeli watoke Misri. Hawa walikuwa Musa na Aruni wale wale.

1
06/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Pale Yahweh alipo zungumza na Musa katika nchi ya Misri, \v 29 alimwambia, "Mimi ni Yahweh. Sema kwa Farao, mfalme wa MIsri, kila kitu nitacho kwambia." \v 30 Lakini Musa alimwambia Yahweh, "Mimi sio mzuri wa kuongea, hivyo kwanini Farao anisikilize mimi?"

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Yahweh akasema na Musa, "Ona, nimekufanya kama mungu kwa Farao. Aruni kaka yako atakuwa nabii wako. \v 2 Utasema kila kitu nitacho kuamuru kusema. Aruni kaka yako ata sema na Farao iliawaachie watu wa Israeli watoke kwenye nchi yake.

1
07/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Lakini nitaufanya moyo wa Farao mgumu, na nitaonyesha ishara nyingi za nguvu zangu, maajabu mengi, katika nchi ya Misri. \v 4 Lakini Farao hata kusikiliza, kwahiyo nitaueka mkono wangu juu ya Misri na kutoa makundi yangu ya wanaume wapiganaji, watu wangu, wazao wa Israeli, watoke nchi ya Misri kwa matendo makubwa ya hukumu. \v 5 Wamisri watajua kuwa mimi ni Yahweh nitapo nyoosha mkono wangu kwa Misri na kuwatoa Waisraeli kutoka miongoni mwao."

1
07/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Musa na Aruni wakafanya hivyo; walifanya kama Yahweh alivyo waamuru. \v 7 Musa alikuwa na miaka themanini, na Aruni miaka themanini na tatu walipo ongea na Farao.

1
07/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Yahweh akamwambia Musa na Aruni, \v 9 "Wakati Farao atakapo waambia, 'Fanya muujiza,' utamwambia Aruni, 'Chukuwa gongo lako na ulirushe chini mbele ya Farao, ililigeuke nyoka."' \v 10 Kisha Musa na Aruni wakaenda kwa Farao, na wakafanya kama Yahweh alivyo waamuru. Aruni akarusha chini gongo lake mbele ya Farao na watumishi wake, na likageuka nyoka.

1
07/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kisha naye Farao akawaita wazee wenye hekima na wachawi. Wakafanya jambo hilo hilo kwa uchawi wao. \v 12 Kila mtu akarusha chini gongo lake, na magongo yakawa nyoka. Lakini gongo la Aruni lilimeza nyoka zao. \v 13 Moyo wa Farao ulikuwa mgumu, na akusikiliza, kama Yahweh alivyo tabiri.

1
07/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Yahweh akasema na Musa, "Moyo wa Farao ni mgumu, na anakataa kuacha watu waende. \v 15 Nenda kwa Farao asubui anapoenda kwenye maji. Simama kwenye chanzo cha mto kukutana naye, na uchukuwe mkononi mwako gongo ambalo liligeuka nyoka.

1
07/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Mwambie, 'Yahweh, Mungu wa Waebrania, amenituma kwako, "Acha watu wangu waende, iliwaniabudu nyikani. Mpaka sasa haujanisikiliza." \v 17 Yahweh anasema hili: "Kwa hili utajua kuwa mimi ni Yahweh. Ninaenda kupiga maji ya mto wa Misri kwa gongo langu lililo mikono mwangu, na mto utageuzwa kuwa damu. \v 18 Samaki walio kwenye mto watakufa, na mto utanuka. Wa Misri Hawataweza kunywa maji yalio kwenye mto."'''

1
07/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Kisha Yahweh akasema na Musa, "Mwambie Aruni, 'Chukuwa gongo lako na unyooshe mkono kwenye maji ya Misri, na juu ya mito yake, mifereji, visima, na madimbwi yote, ili maji yao ya damu. Fanya hivi ilikuwe na damu nchi nzima ya Misri, hadi kwenye vyombo vyote vya mbao na mawe."'

1
07/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Musa na Aruni walifanya kama Yahweh alivyo waamuru. Aruni alinyanyua gongo na kupiga maji ya mto, machoni pa Farao na watumishi wake. Maji yote kwenye mto yaligeuga damu. \v 21 Samaki kwenye mto wakafa, na mto ukaanza kunuka. Wamisri hawakuweza kunywa maji kwenye mto, na damu ilikuwa kila mahali katika nchii ya Misri. \v 22 Lakini wachawi walifanya vivyo hivyo na uchawi wao. Kwaiyo moyo wa Farao ukawa mgumu, na akakataa kuwasikiliza Musa na Aruni, kama Yahweh alivyo sema itatokea.

1
07/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Kisha Farao akarudi na kwenda nyumbani kwake. Wala hakutilia maanani hili. \v 24 Wamisri wote walichimba pembeni ya mto kwa ajili ya maji ya kunywa, lakini hawakuweza kunywa maji ya mto. \v 25 Siku saba zilipita baada ya Yahweh kushambulia mto.

1
08/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Yahweh akazungumza na Musa, "Nenda kwa Farao na umwambie, 'Yahweh anasema hivi: Acha watu wangu waende hili wakaniabudu. \v 2 Ukikataa kuwaruhusu waende, nitaidhuru nchi yako yote kwa vyura. \v 3 Mito itajawa na vyura. Watatoka na kuingia nyumbani kwako, chumbani kwako, na kitandani kwako. Wataenda nyumbani mwa watumishi wako. Wataenda kwa watu wako, kwenye majiko yako, na vyombo vya kukandia mkate. \v 4 Vyura watakushambulia wewe, watu wako, na watumishi wako wote.""'

1
08/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Yahweh akamwambia Musa, "Mwambie Aruni, 'Nyoosha mkono wako na gongo lako kwenye mito, mifereji, na kwenye mabwawa, na uwatoe vyura juu ya nchi ya Misri."' \v 6 Aruni akanyoosha mkono juu ya maji ya Misri, na vyura wakatoka na kujaza nchi ya Misri. \v 7 Lakini wachawi walifanya vivyo hivyo na uchawi wao: waliwatoa vyura juu ya nchi ya Misri.

1
08/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kisha Farao akawaita Musa na Aruni na kuwaambia, "Muombeni Yahweh iliawaondoe vyura kwangu na kwa watu wangu. Kisha nitawaacha watu waende, iliwamtolee dhabihu." \v 9 Musa akamwambia Farao, "Unaweza chukuwa fursa ya kuniambia lini nikuombee wewe, watumishi wako, na watu wako, ili vyura waondolewe kwako na nyumbani kwako na wabaki tu kwenye mito."

1
08/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Farao akasema, "Kesho." Musa akasema, "Acha iwe kama ulivyo sema, ili kwamba ujue hakuna Mungu mwengine kama Yahweh, Mungu wetu. \v 11 Vyura wataondoka kutoka kwako, nyumbani mwako, kwa watumishi wako, na kwa watu wako. Watabaki tu kwenye mito." \v 12 Musa na Aruni wakaondoka kwa Farao. Kisha Musa akamlilia Yahweh kuhusu hao vyura alio waleta kwa Farao.

1
08/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Yahweh akafanya kama Musa alivyo omba: Vyura wakafa kwenye nyumba, nyuani, na mashambani. \v 14 Watu wakawakusanya kwa mafungu, na nchi ikanuka. \v 15 Lakini Farao alipoona kuna afadhali, aliufanya moyo wake kuwa mgumu na hakumsikiliza Musa na Aruni, kama Yahweh alivyo sema.

1
08/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Yahweh akamwambia Musa, "Mwambie Aruni, 'Nyoosha gongo lako na upige udongo chini, iliuwe chawa kati nchi yote ya Misri."' \v 17 Wakanya hivyo: Aruni akanyoosha mkono wake na gongo lake. Akaupiga udongo wa ardhi. Chawa wakaja juu ya watu na wanyama. Udongo wote kwenye ardhi ukawa chawa katika nchi ya Misri.

1
08/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Wachawi walijaribu kufanya chawa kwa uganga wao lakini hawakuweza. Palikuwa na chawa kwa watu na kwa wanyama. \v 19 Kisha wachawi wakamwambia Farao, "Hichi ni kidole cha Mungu." Lakini moyo wa Farao ulikuwa Mgumu, hivyo akakataa kuwasikiliza. Ilikuwa kama Yahweh alivyo sema Farao atafanya.

1
08/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Yahweh akamwambia Musa, "Inuka asubui mapema na usimame mbele ya Farao anapoenda mtoni. Umwambie, 'Yahweh anasema hivi: "Acha watu wangu waende wakaniabudu mimi. \v 21 Lakini usipo acha watu wangu waende nitatuma kundi la nzi kwako, watumishi wako, na watu wako, na kwenye nyumba zenu. Nyumba za wa Misri zitajawa na makundi ya nzi, na ata ardhi wanayo simama itajawa na nzi.

1
08/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Lakini katika siku hiyo nitaitendea nchi ya Gosheni tofauti, nchi ambayo watu wangu wanaishi, ilikwamba kusiwe na makundi ya nzi huko. Hili litatokea ili kwamba mjue mimi ni Yahweh katika hii nchi. \v 23 Nitaweka utofauti kati ya watu wangu na watu wako. Hii ishara ya nguvu zangu itatokea kesho""' \v 24 Yahweh akafanya hivyo, na kundi kubwa la nzi likaja nyumbani mwa Farao na nyumbani mwa watumishi wake. Katika nchi yote ya Misri, nchi iliharibiwa na makundi ya nzi.

1
08/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Farao akawaita Musa na Aruni na kuwaambia, "Nendeni, mtolee Mungu wenu dhabihu kwenye nchi yetu." \v 26 Musa akasema, "Sio vyema sisi kufanya hivyo, kwa kuwa dhabihu tunazo mtolea Yahweh Mungu wetu zinachukiza kwa Wamisri. Kama tutatoa dhabihu mbele ya macho yao zilizo chukizo kwa Wamisri, hawata tupiga mawe? \v 27 Hapana, ni safari ya siku tatu kwenda nyikani ambayo lazima tuende, ili kiutoa dhabihu kwa Yahweh Mungu wetu, kama anavyo tuamuru."

1
08/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Farao akasema, "Nitakuruhusu kwenda kumtolea dhabihu Yahweh Mungu wenu nyikani. Ila usiende mbali sana. Niombee." \v 29 Musa akasema, "Wakati tu nitakapoenda kutoka kwako, nitamuomba Yahweh ili makundi ya nzi yatoke kwako, wewe Farao, na watumishi wako na watu kesho. Lakini usifanye udhalimu tena kwa kutowaacha watu wetu waende kumtolea dhabihu Yahweh."

1
08/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Musa akaenda nje kutoka kwa Farao na kumuomba Yahweh. \v 31 Yahweh akafanya kama Musa alivyo muomba: alitoa makundi ya nzi kutoka kwa Farao, watumishi wake, na watu wake. Hakuna ata mmoja aliye baki. \v 32 Lakini Farao aliufanya moyo wake mgumu tena, na hakuwaacha watu waende.

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Yahweh akamwambia Musa, Nenda kwa Farao na umwambie, 'Yahweh, Mungu wa Waebrania, anasema hivi: "Acha watu wangu waende ili wakaniabudu mimi." \v 2 Lakini ukikataa kuwaruhusu waende, kama utaendelea kuwa bakiza nyuma, \v 3 basi mkono wa Yahweh utakuwa kinyume dhidi ya mifugo yako shambani na kwa farasi, punda, ngamia, ng'ombe na kondoo, naitasababisha ugonjwa mbaya sana. \v 4 Yahweh ata tendea tofauti mifugo ya Israeli na mifugo Misri: Haukuna mnyama wa Waisraeli ataye kufa.

1
09/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Yahweh ametenga muda; amesema, "Ni kesho ambapo nitafanya ilitukio katika nchi.""' \v 6 Yahweh akafanya hivi siku iliyofuata: mifugo yote ya Misri ikafa. Lakini hamna mnyama wa Waisraeli aliye kufa, hamna mnyama ata mmoja. \v 7 Farao akafanya utafiti, na tazama, hakuna mnyama ata mmoja aliye kufa. Lakini moyo wake ulikuwa mjeuri, hivyo hakuwaacha watu waende.

1
09/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kisha Yahweh akawambia Musa na Aruni, "Chukuwa majivu na uyajaze mkononi kutoka kwenye tanuru. Wewe, Musa, lazima uyarushe juu wakati Farao akitazama. \v 9 Yatakuwa vumbi safi nchi nzima ya Misri. Yatasababisha majipu na mafua kulipuka kwa watu na wanyama katika nchi yote ya Msri." \v 10 Hivyo Musa na Aruni wakachukuwa majivu kutoka kwenye tanuru na kusimama mbele ya Farao. KIsha Musa akarusha majivu juu. Majivu yakasababisha majipu na mafua kutokea kwa watu na wanyama.

1
09/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Waganga hawakuweza kumzuia Musa kwasababu ya majipu, kwasababu majipu yalikuwa kwao na kwa Wamisri wote. \v 12 Yahweh akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, Farao hakuwasikiliza Musa na Aruni. Hili ndilo Yahweh alilo mwambia Musa Farao atalo fanya.

1
09/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Kisha Yahweh akamwambia Musa, Amka asubui mapema, simama mbele ya Farao, na umwambie, 'Yahweh, Mungu wa Waebrania, anasema hivi: Acha watu wangu waende ili wakaniabudu mimi. \v 14 Kwa muda huu nitatuma mapigo kwako wewe, kwa watumishi wako na watu wako. Nitafanya hivi ili ujue hakuna kama mimi kwenye dunia yote.

1
09/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Mpaka sasa ningeweza kuunyosha mkono wangu na kukushambulia wewe na watu wako kwa ugonjwa, na ungeondelewa kwenye nchi. \v 16 Lakini ni kwa sababu hii nimekuruhusu uishi: ili kukuonyesha nguvu zangu, ili kwamba jina langu litangazwe dunia nzima. \v 17 Bado unajiinua dhidi ya watu wangu kwa kuwaacha wasiende.

1
09/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Sikiliza! Kesho muda kama huu nita leta mvua ya mawe ya barafu kubwa, kama ambayo haijawai kuonekana Misri toka ilipo anza hadi sasa. \v 19 Kisha sasa, tuma wanaume na ukusanye mifugo yako na vitu vyote ulivyo navyo mashambani sehemu salama. Kila mtu na mnyama aliyeko shambani na hajaletwa nyumbani - mawe ya barufu yatawashukia, na watakufa.""'

1
09/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kisha hao wa watumishi wa Farao walio amini ujumbe wa Yahweh waka harakisha kuleta watumwa na mifugo yao ndani ya nyumba zao. \v 21 Lakini hao ambao hawa kuchukuwa ujumbe wa Yahweh maanani waliacha watumwa wao na mifugo shambani.

1
09/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Kisha Yahweh akamwambia Musa, "Nyoosha mkono wako kuelekea mbingu ili kuwe na mawe ya barafu katika nchi yote ya Misri, kwa watu, kwa wanyama, na kwenye mimea yote shambani na nchi nzima ya Misri." \v 23 Musa akanyoosha mkono na gongo lake kuelekea mbiguni, na Yahweh akatuma mngurumo, mawe ya barafu, na radi kwenye nchi. Pia alinyesha mvua kwenye nchi ya Misri. \v 24 Hivyo kulikuwa na radi iliyo changanyika na mawe ya barafu, ilikuwa hatari sana, kuliko yeyote iliyowai kutokea kwenye nchi ya Misri tangu liwe taifa.

1
09/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Katika nchi yote ya Misri, barafu ya mawe ilipiga kila kitu kwenye shamba, watu na wanyama. Ilipiga kila mmea shambani na kuvunja kila mti. \v 26 Isipo kuwa tu nchi ya Gosheni, walipo ishi Waisraeli, hapakuwa na mawe ya barafu.

1
09/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Kisha Farao akatuma wanaume wakawaite Musa na Aruni. Akawaambia, "Nimetenda dhambi wakati huu. Yahweh ni mwenye haki, na mimi na watu wangu ni waovu. \v 28 Muombe Yahweh, kwasababu radi na barafu ya mawe imezidi. Nitawaacha muende, na hamtabaki tena hapa."

1
09/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Musa akamwambia, "Nitakapo ondoka tu kwenye mji, nitaitanua mikono yangu kwa Yahweh. Mngurumo utaacha, na hakutakuwa na barafu ya mawe tena. Kwa ili utajua kuwa nchi ni ya Yahweh. \v 30 Lakini kwa wewe na watu wako, najua bado hamu mheshimu Yahweh Mungu."

1
09/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Sasa kitani na shayiri ziliharibiwa, kwa kuwa shayiri ilikuwa katika kukomaa, na kitani ilikuwa imestawi. \v 32 Lakini ngano na kusemethu hazikupigwa mana zinachelewa kukua. \v 33 Musa alipo muacha Farao na mji, alitanua mikono yake kwa Yahweh; mngurumo na barafu ya mawe ikasimama, na mvua haikunyesha tena.

1
09/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 Farao alipoona mvua, barafu ya mawe, na mngurumo umekatika, akatenda dhambi na kufanya moyo wake kuwa mgumu, pamoja na watumishi wake. \v 35 Moyo wa Farao ulikuwa mgumu, hakuacha watu wa Israeli waende. Hivi ndivyo Yahweh alimwambia Musa Farao atafanya.

1
10/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Yahweh akamwambia Musa, "Nenda kwa Farao, kwa kuwa nimeufanya moyo wake mgumu na moyo wa watumishi wake. Nimefanya hivi kuonyesha hizi ishara za nguvu zangu miongoni mwao. \v 2 Pia nimefanya hivi ili muwaambie watoto wenu na wajukuu wenu vitu nilivyo fanya, jinsi nilivyo itendea Misri kwa ukali, na jinsi nilivyo onyesha aina tofauti za ishara za nguvu zangu miongoni mwao. Kwa hili mtajua kuwa mimi ni Yahweh."

1
10/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Hivyo Musa na Aruni wakaenda kwa Farao na kumwambia, "Yahweh, Mungu wa Waebrania, anasema hivi: 'Kwa muda gani utaendelea kukataa kujinyenyekesha mbele zangu? Acha watu wangu waenda ili wakaniabudu. \v 4 Lakini ukikataa kuwaruhusu watu wangu kwenda, sikiliza, kesho nitaleta nzige kwenye nchi yako.

1
10/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Watafunika ardhi ya juu ili kwamba mtu asiweze kuona udongo. Watakula mabaki yote yalio salia kwenye mvua ya barafu ya mawe. Pia watakula kila mti unaokua shambani. \v 6 Watajaza nyumba zenu, zote za watumishi wenu, na zote za Wamisri wote - jambo ambalo baba zenu wala mababu zenu hawakuwai kuona, jambo ambalo halikuwai shuhudiwa toka walipo kuwa duniani hadi leo."' Kisha Musa akaondoka na kutoka kwa Farao.

1
10/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Watumishi wa Farao wakamwambia, "Mpaka lini huyu mwanaume ata kuwa msumbufu kwetu? Acha Waisraeli waende wakamuabudu Yahweh Mungu wao. Bado haujatambua kuwa Misri imeharibiwa?" \v 8 Musa na Aruni wakaletwa tena kwa Farao, ambaye aliwaambia, "Nendeni amkamuabudu Yahweh Mungu wenu. Lakini watu gani wataenda?"

1
10/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Musa akasema, "Tutaondoka na wadogo wetu na wakubwa wetu, pamoja na wana wetu na mabinti zetu. Tutaondoka na ng'ombe na kondoo zetu, maana lazima tufanye siku kuu ya Yahweh." \v 10 Farao akawaambia, "Yahweh kwa kweli awe nanyi, kama nitawaacha muende na wadogo zenu waende. Angalia, una uovu kwenye nia. \v 11 Hapana! Nenda, wanaume tu miongoni mwenu, na mmuabudu Yahweh, kwa kuwa hilo ndilo mnalo litaka." Kisha Musa na Aruni wakaondolewa uweponi mwa Farao.

1
10/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Kisha Yahweh akamwambia Musa, "Nyoosha mkono wako kwenye nchi ya Misri palipo na nzige, ili washambulie nchi ya Misri na kula kila mmea, kila kitu barua ya mawe iliyo acha." \v 13 Musa akanyoosha na gongo lake juu ya nchi ya Misri, na Yahweh akaleta upepo wa mashariki juu ya nchi mchana wote na usiku mzima. Palipo kuwa asubui, upepo wa mashariki ulileta nzige.

1
10/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Nzige wakaenda nchi yote ya Misri na kuharibu sehemu zote. Hapajawai kuwa na kundi kama hilo la nzige juu ya nchi, hakuna kama tena kama hilo litawai kutokea. \v 15 Walifunika ardhi yote ya juu ikawa giza. Walikula kila mmea na kila tunda la miti ambayo barafu ya mawe ilibakiza. Kila eneo la nchi ya Misri, hakuna mmea wa kijani ulibaki, wala mti au mmea wa shambani.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More