Wed Jul 06 2022 17:53:20 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-06 17:53:21 +03:00
parent 72c2b31e63
commit dacece79ae
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 29 Husizuie sadaka kutoka kwenye mavuno yako au kwenye hifadhi ya mvinyo wako. Lazima unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako. \v 30 Lazima ufanye hivyo hivyo kwa ng'ombe na kondoo wako. Kwa siku saba lazima wabaki na mama zao, lakini siku ya nane lazima unipe mimi. \v 31 Mtakuwa watu walio tengwa kwa ajili yangu. Hivyo hamtakula nyama iliyo uliwa na wanyama porini. Badala yake, uwatupie mbwa.
\v 29 Usizuie sadaka kutoka kwenye mavuno yako au kwenye hifadhi ya mvinyo wako. Lazima unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako. \v 30 Lazima ufanye hivyo hivyo kwa ng'ombe na kondoo wako. Kwa siku saba lazima wabaki na mama zao, lakini siku ya nane lazima unipe mimi. \v 31 Mtakuwa watu walio tengwa kwa ajili yangu. Hivyo hamtakula nyama iliyo uliwa na wanyama porini. Badala yake, uwatupie mbwa.

View File

@ -291,6 +291,7 @@
"22-20",
"22-22",
"22-25",
"22-28"
"22-28",
"22-29"
]
}