Tue Jul 05 2022 11:22:27 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
1e3718a607
commit
d9ebbfe8bf
|
@ -1 +1,3 @@
|
|||
\v 6 Siku ile ile, Farao alitoa amri kwa wasimamizi na wanyapara wa wale watu. Akasema, \v 7 "Tofauti na ilivyokuwa mwanzo, "Tofauti ni ilivyokuwa awali, msiwapatie tena watu majani ya kutengenezea tofali. Waacheni wao waende kujitafutia majani wenyewe. \v 8 Ingawa wanapaswa kuleta hesabu sawa ya matofali watakayotengeneza kama ilivyokuwa awali. Msipokee pungufu, kwasababu wao ni wavivu. Ndiyo maana wanapiga kelele na kusema, 'turuhusu tuende tukamtolee sadaka Mungu wetu.' \v 9 Waongezeeni kazi wanaume ili wasipate tena muda wa kusikiliza maneno ya upotoshaji."
|
||||
\v 6 Siku ile ile, Farao alitoa amri kwa wasimamizi na wanyapara wa wale watu. Akasema, \v 7 "Tofauti na ilivyokuwa mwanzo, "Tofauti ni ilivyokuwa awali, msiwapatie tena watu majani ya kutengenezea tofali. Waacheni wao waende kujitafutia majani wenyewe. \v 8 Ingawa wanapaswa kuleta hesabu sawa ya matofali watakayotengeneza kama ilivyokuwa awali. Msipokee pungufu, kwasababu wao ni wavivu. Ndiyo maana wanapiga kelele na kusema, 'turuhusu tuende tukamtolee sadaka Mungu wetu.' \v 9 Waongezeeni kazi wanaume ili wasipate tena muda wa kusikiliza maneno ya upotosha''.
|
||||
|
||||
''''''''
|
Loading…
Reference in New Issue