Sat Jul 09 2022 11:41:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-09 11:41:09 +03:00
parent 775105eb6a
commit 9e9ac6b697
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Musa akachukua hema na kukita nje ya kambi, umbali kidogo na kambini. Aliita hema ya kukutania. Kila mtu alliye muuliza Yahweh kitu chochote alienda kwenye hema ya kukutania, nje ya kambi. \v 8 Kisha Musa alipo enda kwenye hema, watu wote walisima kando ya hema yao na kumuangalia Musa hadi alipo ingia ndani. \v 9 Wakati wowote Musa alipo ingia hemani, nguzo ya wingu ilishuka chini na kusimama nje ya lango la hema, na Yahweh alizungumza na Musa.
\v 7 Musa akachukua hema na kukita nje ya kambi, umbali kidogo na kambini. Aliita hema ya kukutania. Kila mtu alliye muuliza Yahweh kitu chochote alienda kwenye hema ya kukutania, nje ya kambi. \v 8 Kisha Musa alipoenda kwenye hema, watu wote walisimama kando ya hema yao na kumuangalia Musa hadi alipo ingia ndani. \v 9 Wakati wowote Musa alipoingia hemani, nguzo ya wingu ilishuka chini na kusimama nje ya lango la hema, na Yahweh alizungumza na Musa.