Tue Jul 05 2022 21:20:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-05 21:20:32 +03:00
parent 09ad5e0516
commit 79ad36a290
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Kisha Musa na Aruni wakawaambia watu wote wa Israeli, "Jioni mtajua kuwa ni Yahweh aliye waleta kutoka nchi ya Misri. \v 7 Asubui utaona utukufu wa Yahweh, kwa maana anasikia mna mlalamikia. Sisi ni nani hadi mtulalamikie?" \v 8 Musa pia akasema, "Utajua hili pale Yahweh atakapo kupa nyama jioni na mkate asubui kwa tele - kwa kuwa amesikia malalamishi mnayo tamka dhidi yake. Nani ni Aruni na mimi? Malalamishi yenu sio dhidi yetu; ni dhidi ya Yahweh."
\v 6 Kisha Musa na Aruni wakawaambia watu wote wa Israeli, "Jioni mtajua kuwa ni Yahweh aliye waleta kutoka nchi ya Misri. \v 7 Asubui utaona utukufu wa Yahweh, kwa maana anasikia mna mlalamikia. Sisi ni nani hadi mtulalamikie?" \v 8 Musa pia akasema, "Utajua hili pale Yahweh atakapo kupa nyama jioni na mkate asubui kwa utele - kwa kuwa amesikia malalamishi mnayo tamka dhidi yake. Nani ni Aruni na mimi? Malalamishi yenu sio dhidi yetu; ni dhidi ya Yahweh."