Tue Jul 05 2022 12:20:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-05 12:20:34 +03:00
parent 2b461b5dfd
commit 72bd94ef88
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Musa na Aruni walifanya kama Yahweh alivyo waamuru. Aruni alinyanyua gongo na kupiga maji ya mto, machoni pa Farao na watumishi wake. Maji yote kwenye mto yaligeua damu. \v 21 Samaki kwenye mto wakafa, na mto ukaanza kunuka. Wamisri hawakuweza kunywa maji kwenye mto, na damu ilikuwa kila mahali katika nchii ya Misri. \v 22 Lakini wachawi walifanya vivyo hivyo na uchawi wao. Kwa hiyo moyo wa Farao ukawa mgumu, na akakataa kuwasikiliza Musa na Aruni, kama Yahweh alivyo sema itatokea.
\v 20 Musa na Aruni walifanya kama Yahweh alivyo waamuru. Aruni alinyanyua gongo na kupiga maji ya mto, machoni pa Farao na watumishi wake. Maji yote kwenye mto yaligeuka damu. \v 21 Samaki kwenye mito wakafa, na mito ukaanza kunuka. Wamisri hawakuweza kunywa maji kwenye mito, na damu ilikuwa kila mahali katika nchi ya Misri. \v 22 Lakini wachawi walifanya vivyo hivyo na uchawi wao. Kwa hiyo moyo wa Farao ukawa mgumu, na akakataa kuwasikiliza Musa na Aruni, kama Yahweh alivyo sema itatokea.