Tue Jul 05 2022 10:00:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-05 10:00:09 +03:00
parent 9df95128fb
commit 6a6c6738ee
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Musa akamwambia Mungu, "Nikienda kwa Waisraeli na kuwaambia, 'Mungu wa baba zenu amenituma mimi kwenu,' na kisha wakiniambia, 'jina lake nani?' nitawaambia nini?" \v 14 Mungu akamwambia Musa, "MIMI NIPO AMBAYE NIPO." Mungu akasema, "Ni lazima uwaambie Waisraeli, "MIMI NIPO amenituma kwenu." \v 15 Pia Mungu akamwambia Musa, "Lazima uwaambie Waisraeli, 'Yahwe, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo amenituma mimi kwenu. Hili ndio jina langu milele, na hivi ndivyo nitakavyokumbukwa na vizazi vyote.'
\v 13 Musa akamwambia Mungu, "Nikienda kwa Waisraeli na kuwaambia, 'Mungu wa baba zenu amenituma mimi kwenu,' na kisha wakiniuliza, 'jina lake nani?' nitawaambia nini?" \v 14 Mungu akamwambia Musa, "MIMI NIPO AMBAYE NIPO." Mungu akasema, "Ni lazima uwaambie Waisraeli, "MIMI NIPO amenituma kwenu." \v 15 Pia Mungu akamwambia Musa, "Lazima uwaambie Waisraeli, 'Yahwe, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo amenituma mimi kwenu. Hili ndio jina langu milele, na hivi ndivyo nitakavyokumbukwa na vizazi vyote.'