Wed Jul 06 2022 08:44:04 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-06 08:44:05 +03:00
parent 612ff3d3b0
commit 4e478ee684
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 18 \v 1 Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wake Musa, alisikia yote Mungu aliyofanya kwa Musa na kwa Israeli watu wake. Alisikia Yahweh ametoa Israeli kutoka Misri. \v 2 Yethro, baba mkwe wake Musa, akamchukuwa Zipora, mke wa Musa, baada ya kumpeleka nyumbani, \v 3 na wana wake wawili; jina mmoja lilikuwa Gershomu, kwa kuwa Musa alisema, "Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni." \v 4 Jina la mwingine lilikuwa Eliezeri, kwa kuwa Musa alisema, "Mungu wa babu yangu alikuwa msaada wangu. Aliniokoa na mkono wa Farao."
\c 18 \v 1 Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wake Musa, alisikia yote Mungu aliyofanya kwa Musa na kwa Israeli watu wake. Alisikia Yahweh ametoa Israeli kutoka Misri. \v 2 Yethro, baba mkwe wake Musa, akamchukua Zipora, mke wa Musa, baada ya kumpeleka nyumbani, \v 3 na wana wake wawili; jina mmoja lilikuwa Gershomu, kwa kuwa Musa alisema, "Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni." \v 4 Jina la mwingine lilikuwa Eliezeri, kwa kuwa Musa alisema, "Mungu wa babu yangu alikuwa msaada wangu. Aliniokoa na mkono wa Farao."

View File

@ -233,6 +233,7 @@
"17-08",
"17-11",
"17-14",
"18-title"
"18-title",
"18-01"
]
}