Wed Jul 06 2022 08:10:00 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
28fe22d59c
commit
25427d1288
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 17 \v 1 Jamii yote ya Israeli ili safiri kutoka nyikani ya Sini, wakifuata maelekezo ya Yahweh. Walieka kambi Refidimu, lakini hapakuwa na maji ya watu kunywa. \v 2 Hivyo watu wakamlaumu Musa kwa hali yao na kusema, "Tupe maji ya kunywa." Musa akasema, "Kwanini mnagombana na mimi? Kwanini mnajaribu Yahweh?" \v 3 Watu walikuwa na kiu sana, na waka mlalamikia Musa. Wakasema, "Kwanini umetutoa Misri? Ili utuue sisi na watoto wetu na mifugo yetu kwa kiu?"
|
||||
\c 17 \v 1 Jamii yote ya Israeli ili safiri kutoka nyikani ya Sini, wakifuata maelekezo ya Yahweh. Walieka kambi Refidimu, lakini hapakuwa na maji ya watu kunywa. \v 2 Hivyo watu wakamlaumu Musa kwa hali yao na kusema, "Tupe maji ya kunywa." Musa akasema, "Kwanini mnagombana na mimi? Kwanini mnajaribu Yahweh?" \v 3 Watu walikuwa na kiu sana, na waka mlalamikia Musa. Wakasema, "Kwa nini umetutoa Misri? Ili utuue sisi na watoto wetu na mifugo yetu kwa kiu?"
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 11 Wakati Musa alipo kuwa ameshikilia mikono yake juu, Israeli ilikuwa yashinda; alipo acha mikono yake ipumzike, Ameleki alianza kushinda. \v 12 Mikono ya Musa alipo kuwa mizito, Aruni na Huri walichukuwa jiwe na kuweka chini yake alikalie. Muda huo huo, Aruni na Huri walinyanyua mikono yake juu, mtu mmoja upande mmoja, na mtu mmoja upande mwingine. Hivyo mikono ya Musa ilishikiliwa tuli mpaka jua lilipo zama. \v 13 Hivyo Yoshua akawashinda watu wa Ameleki kwa upanga.
|
||||
\v 11 Wakati Musa alipokuwa ameshikilia mikono yake juu, Israeli ilikuwa yashinda; alipo acha mikono yake ipumzike, Ameleki alianza kushinda. \v 12 Mikono ya Musa alipo kuwa mizito, Aruni na Huri walichukuwa jiwe na kuweka chini yake alikalie. Muda huo huo, Aruni na Huri walinyanyua mikono yake juu, mtu mmoja upande mmoja, na mtu mmoja upande mwingine. Hivyo mikono ya Musa ilishikiliwa tuli mpaka jua lilipo zama. \v 13 Hivyo Yoshua akawashinda watu wa Ameleki kwa upanga.
|
|
@ -227,6 +227,8 @@
|
|||
"16-28",
|
||||
"16-31",
|
||||
"16-33",
|
||||
"17-title"
|
||||
"17-title",
|
||||
"17-01",
|
||||
"17-08"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue