Wed Jul 06 2022 07:46:00 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-06 07:46:01 +03:00
parent bfb846ef44
commit 0902bb9d09
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 Hii ni amri Yahweh aliyotoa: 'Lazima ukusanye, kila mmoja wenu, kiasi unachoitaji kula, lita mbili kwa kila mtu. Hivi ndivyo utakavyo kusanya: Kusanya cha kutosha chakula cha kila mtu anayeishi hemani mwako.'" \v 17 Watu wa Israeli wakafanya hivyo. Baadhi wakakusanya zaidi, baadhi wakakusanya kidogo. \v 18 Walipo pima kwa kipimo cha lita, hao walio kusanya zaidi hawakuwa na kilicho salia, na hao walio kusanya kidogo hawakuwa na pungufu. Kila mmoja alikusanya cha kutosha kukidhi maitaji yake.
\v 16 Hii ni amri Yahweh aliyotoa: 'Lazima mkusanye, kila mmoja wenu, kiasi unachoitaji kula, lita mbili kwa kila mtu. Hivi ndivyo utakavyo kusanya: Kusanya cha kutosha chakula cha kila mtu anayeishi hemani mwako.'" \v 17 Watu wa Israeli wakafanya hivyo. Baadhi wakakusanya zaidi, baadhi wakakusanya kidogo. \v 18 Walipo pima kwa kipimo cha lita, hao walio kusanya zaidi hawakuwa na kilicho salia, na hao walio kusanya kidogo hawakuwa na pungufu. Kila mmoja alikusanya cha kutosha kukidhi maitaji yake.