Tue Jul 05 2022 09:48:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-07-05 09:48:12 +03:00
parent 4f31aaca88
commit 01514bbabc
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Farao aliposikia habari hizi, alijaribu kumuua Musa. Lakini Musa alikimbia na kwenda kuishi katika nchi ya Wamidiani. Kule alikaa chini kando ya mto. \v 16 Wakati huo kuhani wa Midiani alikuwa na mabinti saba. Walikuja mtoni kuchota maji na kujaza vyombo vyao ili wawanyweshe mifuo ya baba yao. \v 17 Wachungaji walikuja na kutaka kuwafukuza, lakini Musa alienda kuwasaidia. Kisha akawanywesha mifugo wao.
\v 15 Farao aliposikia habari hizi, alijaribu kumuua Musa. Lakini Musa alikimbia na kwenda kuishi katika nchi ya Wamidiani. Kule alikaa chini kando ya mto. \v 16 Wakati huo kuhani wa Midiani alikuwa na mabinti saba. Walikuja mtoni kuchota maji na kujaza vyombo vyao ili wawanyweshe mifugo ya baba yao. \v 17 Wachungaji walikuja na kutaka kuwafukuza, lakini Musa alienda kuwasaidia. Kisha akawanywesha mifugo wao.

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Wale mabinti walipoenda kwa Reueli baba yao, aliwauliza, "Kwa nini mmerudi nyumbani mapema hivi leo?" \v 19 Wakamwambia, "Mmisri mmoja alituokoa dhidi ya wachungaji. Pia alichota maji na kuwanywesha mifugo wetu." \v 20 Kisha akawauliza binti zake, "Yu wapi sasa? Kwa nini mlimwacha? Mwiteni ili apate kula chakula pamoja nasi."
\v 18 Wale mabinti walipoenda kwa Reueli baba yao, aliwauliza, "Kwa nini mmerudi nyumbani mapema hivi leo?" \v 19 Wakamwambia, "Mmisri mmoja alituokoa dhidi ya wachungaji. Pia alichota maji na kuwanywesha mifugo wetu." \v 20 Kisha akawauliza binti zake, "Yu wapi sasa? Kwa nini mlimwaacha? Mwiteni ili apate kula chakula pamoja nasi."

View File

@ -53,6 +53,7 @@
"02-07",
"02-09",
"02-11",
"02-13"
"02-13",
"02-18"
]
}