sw_est_text_reg/07/09.txt

1 line
386 B
Plaintext

\v 9 Kisha Habona, mmoja wa watumishi aliye mtumikia mfalme akamwambia mfalme, "Mti wenye urefu wa futi hamsini uko nyumbani kwa Hamani. Ulikuwa umeandaliwa kwa ajili ya Modekai, aliye toa taarifa kuhusu mpango wa kuangamizwa kwako." Mfalme akesema,"Mtundikeni Hamani juu yake." \v 10 Kwa hiyo wakamtundika Hamani kwenye mti aliuandaa kwa ajili ya Modekai. Na hasira ya mfalme ikatulia.