sw_est_text_reg/06/10.txt

1 line
377 B
Plaintext

\v 10 Kisha mfalme akamwambia, Hamani "fanya hima, mvike Modekai nguo na umpandishe kwenye farasi, na lisipungue hata jambo moja katika hayo uliyo yasema." \v 11 Kisha Hamani akachukua mavazi na farasi. Akamvika Modekai na akampandisha kwenye farasi na kumpitisha katika mitaa yote ya mji. Akatangaza mbele zake, "Hii imefanyika kwa mtu ambaye mfalme anampenda na kumuheshimu!"