sw_est_text_reg/06/04.txt

1 line
492 B
Plaintext

\v 4 Kisha mfalme akauliza, "Ni nani aliye ndani ya ua." Na Hamani alikuwa ameingia katika ua wa mfalme ili amwombe mfalme atoe kibali ili Modekai atundikwe kwenye mti aliouandaa. \v 5 Watumishi wakamjibu, "Hamani amesimama katika ua ya mfalme." Mfalme akasema, "Mwambieni aingie ndani." \v 6 Mara tu Hamani alipoingia, mfalme akamuuliza, afanyiewe nini mtu yule ambaye mfalme anampenda na kumheshimu?" Hamani akafikiri moyoni mwake, "Ni nani ambaye mfalme ampenda na kumuheshimu zaidi yangu?