sw_est_text_reg/05/12.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 12 Hamani akawambia, "Hata jana Malkia Esta aliandaa karamu kwa ajili ya mfalme na ni mimi tu na mfalme tulio hudhuria katika karamu aliyoiandaa Malkia Esta. Na hata kesho tuna mwaliko mwingine pamoja na mfalme. \v 13 Lakini haya yote sio kitu kama Modekai ataendelea kukaa katika lango la mfalme.