sw_est_text_reg/05/05.txt

1 line
299 B
Plaintext

\v 5 Mfalme akasema, "Mleteni haraka Hamani sawa sawa na matakwa ya Malkia Esta." Mfalme pamoja na Hamani wakahuduria katika karamu aliyoandaa malkia Esta. \v 6 Mvinyo ulipohudumiwa katika karamu, mfalme akamuuliza Malkia Esta hitaji lako ni nini? Na ombi lako ni lipi? Utapewa hata nusu ya ufalme."